Collector
Utalii wa michezo waibu fursa za kiuchumi nchini | Collector
Utalii wa michezo waibu fursa za kiuchumi nchini
HabariLeo

Utalii wa michezo waibu fursa za kiuchumi nchini

NJOMBE: BODI ya Utalii Tanzania (TTB), imesema utalii wa michezo umeendelea kuwa nguzo muhimu ya kuongeza mapato kwa jamii zinazozunguka Hifadhi za Taifa, huku wananchi wa maeneo hayo wakinufaika kupitia fursa mbalimbali za kiuchumi zinazotokana na ongezeko la wageni. Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 2 mkoani Njombe wakati wa mbio za Kitulo Garden Marathon, ambapo … The post Utalii wa michezo waibu fursa za kiuchumi nchini first appeared on HabariLeo .

Go to News Site