HabariLeo
GEITA: MKUU wa mkoa wa Geita, Martine Shigela amekemea tabia ya waajiri hususani maofisa utumishi wa ofisi za umma kukwamisha watumishi kubadilisha kada na kupandishwa madaraja. Shigela ametoa kauli hiyo katika maazimisho ya siku ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi, 2026) ambayo kimkoa yalifanyika katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Katoro wilayani Geita. Amesema kazi ya … The post RC Geita awaonya wanaokwamisha watumishi kubadili kada first appeared on HabariLeo .
Go to News Site