Kagame, Ruto kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi | Collector
Mwananchi
Kagame, Ruto kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi
Ziara hizo zinakuja wakati mataifa ya Afrika Mashariki yakiongeza juhudi za kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia, kukuza biashara ya kikanda na kuendeleza mshikamano kupitia sera ya ujirani mwema.