Aliyepinga kufukuzwa kazi HESLB akwama mahakamani | Collector
Mwananchi
Aliyepinga kufukuzwa kazi HESLB akwama mahakamani
Katika hoja zake, alidai kunyimwa haki ya msingi ya kusikilizwa kwa kuwa hakupatiwa ripoti ya uchunguzi iliyotumika dhidi yake, jambo lililomnyima nafasi ya kuandaa utetezi wa kina.