Collector
RC Mara atoa maelekezo haya kwa Jeshi la Polisi | Collector
RC Mara atoa maelekezo haya kwa Jeshi la Polisi
Mwananchi

RC Mara atoa maelekezo haya kwa Jeshi la Polisi

Kanali Mtambi amesema kumekuwepo na tabia ya polisi kuchukua hatua baada ya uhalifu kutokea, jambo ambalo amesema limekuwa likisababisha jamii kupata bughudha na usumbufu bila sababu za msingi.

Go to News Site