HabariLeo
DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bakari Machumu, ikinukuu taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka, imesema, Rais Samia amemteua Dk Eveline Munisi kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, akichukua … The post Rais Samia afanya uhamisho wa viongozi first appeared on HabariLeo .
Go to News Site