Collector
Mtanzania mbaroni Kenya kwa tuhuma za mauaji ya mtoto | Collector
Mtanzania mbaroni Kenya kwa tuhuma za mauaji ya mtoto
Mwananchi

Mtanzania mbaroni Kenya kwa tuhuma za mauaji ya mtoto

Raia wa Tanzania, Anthony Juma maarufu Kipara, anashikiliwa na vyombo vya dola nchini Kenya, akituhumiwa kuhusika na mauaji ya kikatili ya mtoto Glorious Maore mwenye umri wa miaka 11 nchini humo.

Go to News Site