Mwananchi
Viongozi wa vyama vya upinzani wameitaka Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kuweka kamera za kudhibiti mwendo kasi katika Daraja la JP Magufuli ili kuimarisha usalama wa watumiaji wa daraja hilo.
Go to News Site