Mwananchi
Serikali imesaini mkataba wa mradi wa kimkakati wa uchimbaji na uvunaji wa gesi ya helium kwa kushirikiana na Kampuni ya Helium One Global Limited kupitia Kampuni ya ubia ya Songwe Helium Limited, hatua inayofungua njia ya kuanza uzalishaji wa rasilimali hiyo adimu duniani.
Go to News Site