Collector
Ile jioni ya mechi ndo hiyooo mnune! | Collector
Ile jioni ya mechi ndo hiyooo mnune!
HabariLeo

Ile jioni ya mechi ndo hiyooo mnune!

DAR ES SALAAM; MECHI ya Simba dhidi ya Yanga Ligi Kuu Tanzania Bara itachezwa Jumapili Mei 3, 2026 kuanzia saa 12 jioni, Ilikuwa inaonekana mbali sana. Ipo hivi Mei 3, 2026 ilikuwa inaonekana mbali sana, baadaye ikaja mechi wiki ijayo, kuanzia Jumatatu wafurukutwa wa mpira wakaanza kusema wiki hii, baadaye ikawa inatamkwa Jumapili tutamaliza ubishi. … The post Ile jioni ya mechi ndo hiyooo mnune! first appeared on HabariLeo .

Go to News Site