Collector
Miundombinu utalii kuimarishwa AFCON 2027 | Collector
Miundombinu utalii kuimarishwa AFCON 2027
HabariLeo

Miundombinu utalii kuimarishwa AFCON 2027

ARUSHA: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo ya utalii ikolojia wameanza kuimarisha miundombinu ya utalii na uwekezaji wa kuongeza maeneo ya malazi ili kuchangamkia fursa ya Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027. Ofisa Utalii Hifadhi ya Misitu Ziwa Duluti  kutoka TFS ,Batholomeo Msensemya, amesema … The post Miundombinu utalii kuimarishwa AFCON 2027 first appeared on HabariLeo .

Go to News Site