Mwananchi
Kampuni ya Bima ya CRDB Insurance imetangaza kupata faida baada ya kodi ya Sh4.4 bilioni kwa mwaka wa fedha ulioishia Desemba 2025, hatua inayoashiria mafanikio makubwa kifedha pamoja na utekelezaji madhubuti wa mikakati yake.
Go to News Site