Swahili Times
Kampuni ya huduma za fedha kidigitali, Mixx, imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kuimarisha uchumi wa wakulima wa karafuu Zanzibar kwa kukabidhi hundi mbili zenye jumla ya shilingi milioni 175 kwa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar (ZSTC). Akizungumza katika hafla hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Mkoani-Pemba, Mhe. Mizza Hassan Faki alisema hatua hiyo ni sehemu ya juhudi endelevu za kampuni katika kuboresha maisha ya wakulima na kuleta mapinduzi katika sekta ya kilimo kupitia suluhisho za kifedha za kidigitali. Katika makabidhiano hayo, Mixx ilikabidhi hundi ya shilingi milioni 150 kwa ajili ya kugharamia bima ya afya kwa wakulima wa zao la […] The post Mixx Yatoa TZS milioni 175 kwa ZSTC kuimarisha Wakulima wa Karafuu Zanzibar appeared first on SwahiliTimes .
Go to News Site