Watu watatu wamenusurika kufariki dunia baada ya jengo lililopo Mji Mkongwe, Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi kuporomoka wakiwa ndani.