HabariLeo
MWANZA: WAZIRI wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amewaagiza watumishi wa afya nchini kuwa bajeti ya mwaka wa fedha 2026/27 inatakiwa kuonyesha mwelekeo wa taifa utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote. Mchengerwa amesema hayo leo Mei 3, 2026 wakati wa uzinduzi wa Kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Wizara ya Afya jijini Mwanza. “Katika bajeti … The post Mchengerwa: Bajeti 26/27 izingatie Bima ya Afya kwa Wote first appeared on HabariLeo .
Go to News Site