Collector
Ufanisi wa taasisi washuka changamoto ukaguzi | Collector
Ufanisi wa taasisi washuka changamoto ukaguzi
HabariLeo

Ufanisi wa taasisi washuka changamoto ukaguzi

DAR ES SALAAM: Chama Cha Wakaguzi wa Ndani (IIA Tanzania) kimesema miongoni mwa changamoto wanazokumbana katika ukaguzi ni viatarishi jambo linalopelekea kushuka kwa ufanisi katika taasisi wanapofanya ukaguzi. Rais wa chama hicho, Jonathan Ngoma amesema hayo  wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye ufunguzi wa mwezi wa uhamasishaji wa ukaguzi wa ndani ambapo utadumu kwa … The post Ufanisi wa taasisi washuka changamoto ukaguzi first appeared on HabariLeo .

Go to News Site