Collector
Wizara yaweka lengo Sh bil 1/- mapato 2026/27 | Collector
Wizara yaweka lengo Sh bil 1/- mapato 2026/27
HabariLeo

Wizara yaweka lengo Sh bil 1/- mapato 2026/27

DODOMA: WIZARA ya Habari Sanaa na Utamaduni inakusudia kukusanya Sh bilioni 1 kwa mwaka wa fedha 2026/2027 kutoka katika vyanzo mbalimbali. Vyanzo hivyo ni vitambulisho ya waandishi wa habari, machapisho ya picha, mabango na majarida, usajili wa magazeti, ada ya mwaka ya magazeti, viingilio katika uwanja wa Benjamin Mkapa na Uhuru. Vyanzo vingine ni ada … The post Wizara yaweka lengo Sh bil 1/- mapato 2026/27 first appeared on HabariLeo .

Go to News Site