HabariLeo
BUKOBA: Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeanza utekelezaji wa mpango wa kusambaza majiko banifu 200,000 nchini kwa lengo la kupunguza matumizi ya kuni na mkaa, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa taifa wa matumizi ya nishati safi unaolenga kufikia asilimia 80 ya wananchi waishio vijijini ifikapo mwaka 2034. Kupitia mpango huo, REA imemtambulisha msambazaji wa … The post REA yatekeleza mpango wa majiko banifu Kagera vijijini first appeared on HabariLeo .
Go to News Site