Collector
Zaidi ya wadau 200 kushiriki Jukwaa la Afrika la Ubunifu na Teknolojia 2026 Dar | Collector
Zaidi ya wadau 200 kushiriki Jukwaa la Afrika la Ubunifu na Teknolojia 2026 Dar
bongo5.com

Zaidi ya wadau 200 kushiriki Jukwaa la Afrika la Ubunifu na Teknolojia 2026 Dar

Zaidi ya watu 200 wanatarajiwa kushiriki Jukwaa la Afrika la Ubunifu na Teknolojia 2026 litakalofanyika Juni 16 na 17 mwaka huu jijini Dar es Salaam, likiwakutanisha wadau mbalimbali kujadili mustakabali wa kidijitali nchini. Jukwaa hilo ambalo limeandaliwa na Taasisi ya Tech & Media Convergency (TMC) na linatarajiwa kuwakutanisha viongozi wa serikali, wadhibiti, sekta binafsi, wabunifu, …

Go to News Site