Collector
Tanzania na Kenya zakubaliana kuondoa vikwazo visivyo vya kikodi | Collector
Tanzania na Kenya zakubaliana kuondoa vikwazo visivyo vya kikodi
Swahili Times

Tanzania na Kenya zakubaliana kuondoa vikwazo visivyo vya kikodi

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Kenya zimekubaliana kuondoa vikwazo visivyo vya kikodi na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi ili kukuza biashara na uwekezaji kati ya nchi hizo mbili. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kumpokea Rais wa Kenya, William Ruto, aliyewasili nchini kwa ziara ya kitaifa, Rais Samia amesema mazungumzo yao yamelenga zaidi masuala ya kiuchumi yanayogusa ustawi wa mataifa hayo. Katika ziara hiyo, mikataba nane imesainiwa ikihusisha sekta za nishati, miundombinu na uchukuzi, TEHAMA, kilimo na biashara, ulinzi, ambapo Rais Samia ameeleza kuwa katika sekta ya ulinzi Tanzania na Kenya zimekubaliana kuongeza ulinzi na umakini […] The post Tanzania na Kenya zakubaliana kuondoa vikwazo visivyo vya kikodi appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site