Ruto: Tanzania itazivuka changamoto zake | Collector
Mwananchi
Ruto: Tanzania itazivuka changamoto zake
Kauli ya Dk Ruto, inakuja miezi saba tangu zilipotokea ghasia nchini wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, mwaka jana na kusababisha mauaji ya watu na uharibifu wa mali.