Kikao hicho kinatarajiwa kufanyika katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.