Collector
Tume ya Madini yaridhishwa na ukusanyaji wa maduhuli | Collector
Tume ya Madini yaridhishwa na ukusanyaji wa maduhuli
HabariLeo

Tume ya Madini yaridhishwa na ukusanyaji wa maduhuli

‎DODOMA: KAMISHENI ya Tume ya Madini imeridhishwa na kasi ya ukusanyaji wa maduhuli katika Sekta ya Madini kupitia Tume ya Madini, hatua inayotoa matarajio ya Serikali kuvuka lengo la kukusanya Sh trilioni 1.2 kwa mwaka wa fedha 2025/2026. ‎ ‎Hayo yamebainishwa leo Mei 4, 2026 jijini Dodoma wakati Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Dk. Janet … The post Tume ya Madini yaridhishwa na ukusanyaji wa maduhuli first appeared on HabariLeo .

Go to News Site