Collector
Tanzania na Kenya kuondoa vikwazo visivyo vya kodi | Collector
Tanzania na Kenya kuondoa vikwazo visivyo vya kodi
bongo5.com

Tanzania na Kenya kuondoa vikwazo visivyo vya kodi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Kenya zimekubaliana kuondoa vikwazo vya kibiashara visivyo vya kikodi na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi ili kukuza biashara na uwekezaji kati ya nchi hizo mbili. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Mei 04, 2026 mara baada ya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya …

Go to News Site