Collector
Benki ya KCB Kuimarisha Ajenda ya Muunganiko wa Kibiashara Kati ya Tanzania na Kenya. | Collector
Benki ya KCB Kuimarisha Ajenda ya Muunganiko wa Kibiashara Kati ya Tanzania na Kenya.
Swahili Times

Benki ya KCB Kuimarisha Ajenda ya Muunganiko wa Kibiashara Kati ya Tanzania na Kenya.

Kama kinara wa huduma za kifedha Afrika Mashariki, Benki ya KCB imejipanga kuchochea ukuaji wa kibiashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Kenya, ikilenga kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kwa manufaa ya mataifa yote mawili. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Bank Group, Paul Russo kupitia jukwaa la kibiashara kati ya Tanzania na Kenya lililozinduliwa na Rais wa Tanzania, Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Rais wa Kenya, Mhe. William Rutto. Katika mkutano huo, Paul Russo alisema, “Ushiriki wetu unasisitiza dhamira ya benki yetu ya KCB kuwa mshirika wa kuaminika katika kukuza maendeleo ya kikanda na mshikamano wa kiuchumi. […] The post Benki ya KCB Kuimarisha Ajenda ya Muunganiko wa Kibiashara Kati ya Tanzania na Kenya. appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site