Collector
Mahakama yatupilia mbali maombi ya mapitio kesi ya Uchaguzi Kigoma Mjini | Collector
Mahakama yatupilia mbali maombi ya mapitio kesi ya Uchaguzi Kigoma Mjini
Mwananchi

Mahakama yatupilia mbali maombi ya mapitio kesi ya Uchaguzi Kigoma Mjini

Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma, imetupilia mbali maombi ya mapitio yaliyowasilishwa na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kigoma Mjini pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), waliokuwa wakiomba mahakama ipitie upya uamuzi wake wa Desemba 16, 2025 uliotolewa katika shauri hilo la uchaguzi namba 28949/2025..

Go to News Site