Collector
TISEZA, TIB kuongeza kasi maendeleo kiuchumi | Collector
TISEZA, TIB kuongeza kasi maendeleo kiuchumi
HabariLeo

TISEZA, TIB kuongeza kasi maendeleo kiuchumi

DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) kwa kushirikiana na TIB Development Bank wamesaini hati ya makubaliano (MoU) yenye lengo la kuimarisha uhamasishaji wa uwekezaji, kukuza uwezo wa biashara na kuharakisha maendeleo ya maeneo maalum ya kiuchumi nchini. Kupitia makubaliano hayo yamefanyika leo Mei 5 jijini Dar es Salaam, … The post TISEZA, TIB kuongeza kasi maendeleo kiuchumi first appeared on HabariLeo .

Go to News Site