Zaidi ya watu 500 wamebainika kuwa na ugonjwa wa homa ya ini mkoani Mwanza huku Serikali ikitangaza hatua za haraka kukabili ugonjwa huo.