Jowuta yamkabidhi Mhariri wa Mwananchi tuzo yake | Collector
Mwananchi
Jowuta yamkabidhi Mhariri wa Mwananchi tuzo yake
Uongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (Jowuta) umemkabidhi tuzo Mhariri wa Gazeti la Mwananchi, Tamali Vullu, aliyeshinda katika sherehe za Mei Mosi.