Collector
Zaidi ya mataifa 50 kushiriki mkutano wa kimataifa wa ulinzi wa amani Tanzania | Collector
Zaidi ya mataifa 50 kushiriki mkutano wa kimataifa wa ulinzi wa amani Tanzania
bongo5.com

Zaidi ya mataifa 50 kushiriki mkutano wa kimataifa wa ulinzi wa amani Tanzania

ZAIDI ya mataifa 50 yanatarajiwa kushiriki Mkutano wa 30 wa Jumuiya ya Kimataifa ya Vyuo vya Mafunzo ya Ulinzi wa Amani Duniani (IAPTC) utakaofanyika mwezi Novemba mwaka huu nchini Tanzania, ukiwa na lengo la kujadili namna ya kuboresha na kuleta ubunifu katika operesheni za ulinzi wa amani duniani chini ya mwamvuli wa Umoja wa Mataifa …

Go to News Site