Mwananchi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limetoa wito kwa mtu yeyote mwenye taarifa zinazoweza kusaidia uchunguzi wa tukio la kupotea kwa wasichana wawili, Kareen Marc Didas (23) na Nakivona Toroka maarufu ‘Rahma’ (22), kuzifikisha polisi ili kusaidia kufanikisha uchunguzi huo.
Go to News Site