Collector
Serikali kuendelea kutoa ushirikiano kwa ERB kufikia malengo ya Dira ya maendeleo ya Teknolojia 2050 | Collector
Serikali kuendelea kutoa ushirikiano kwa ERB kufikia malengo ya Dira ya maendeleo ya Teknolojia 2050
bongo5.com

Serikali kuendelea kutoa ushirikiano kwa ERB kufikia malengo ya Dira ya maendeleo ya Teknolojia 2050

Serikali imesema itaendelea kutoa ushirikiano wa karibu kwa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) ili kuhakikisha sekta ya uhandisi na teknolojia inaendelea kuchangia kikamilifu katika kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo ya Mwaka 2050. Hayo yamesemwa leo Mei 7, 2026 Jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, …

Go to News Site