Mwananchi
Aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), James Temba aliyeuawa na mwili wake kukutwa ukielea katika Mto Msimbani, eneo la Baracuda jijini Dar es Salaam, umezikwa katika makaburi ya familia kijijini kwao Mande, Moshi mkoani Kilimanjaro, huku mama mzazi akitoa ujumbe kutoka Zaburi ya 35 kwa yeyote aliyehusika na tukio hilo.
Go to News Site