Wadau wa ujenzi wa meli wataka udhibiti wa mafundi | Collector
Mwananchi
Wadau wa ujenzi wa meli wataka udhibiti wa mafundi
Wadau wa sekta ya ujenzi wa meli nchini wametaka kuwepo kwa udhibiti madhubuti ili kuondoa watu wasiokuwa na taaluma wanaojihusisha na kazi hiyo na kuhatarisha usalama wa vyombo vya majini.