Mafanikio ya biashara hayatokani na kiwango cha elimu peke yake bali uwezo wa mtu kutumia rasilimali alizonazo kwa ubunifu na ujasiri.