bongo5.com
Lengo ni kupisha Mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme 220kV Masasi, Mahumbika Shirika la umeme Tanzania ( TANESCO) limezindua rasmi zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi wanaopisha mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa 220kV kutoka Masasi Mkoani Mtwara hadi Mahumbika Mkoani Lindi. Akizungumza katika Kata ya …
Go to News Site