bongo5.com
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi kesho Mei 09, 2026 atakuwa mgeni rasmi katika hafla utoaji wa tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kwa wanamichezo waliofanya vizuri mwaka 2025 itakayofanyika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 12 jioni. Tayari Kamati ya maandalizi ya utoaji wa tuzo hizo …
Go to News Site