Mwananchi
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amewataka wawekezaji katika sekta ya mafuta kutumia fursa ya ujenzi wa barabara nane na zile za kulipia zinazotarajiwa kujengwa barabara ya Morogoro kuwekeza katika ujenzi wa vituo vya kujazia mafuta na gesi.
Go to News Site