Collector
Serikali yaendelea kulinda ajira viwandani | Collector
Serikali yaendelea kulinda ajira viwandani
HabariLeo

Serikali yaendelea kulinda ajira viwandani

DAR ES SALAAM: Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea kulinda ajira zilizopo na kuzalisha ajira mpya kupitia viwanda na biashara kwa manufaa ya Watanzania na taifa. Hayo ameyasema Mei 08, 2026 jijini Dar es Salaam alipotembelea Kiwanda cha Nguo cha Tooku Garments kilichopo Ubungo External na kubainisha kuwa ziara hiyo ni … The post Serikali yaendelea kulinda ajira viwandani first appeared on HabariLeo .

Go to News Site