Wakulima wa ufuta Songwe waingiza Sh3 bilioni mnada wa kwanza | Collector
Mwananchi
Wakulima wa ufuta Songwe waingiza Sh3 bilioni mnada wa kwanza
Wakulima wa ufuta katika Mkoa wa Songwe wameingiza zaidi ya Sh3 bilioni kwenye mnada wa kwanza wa ufuta wa msimu wa biashara wa 2026/27 uliofanyika Ijumaa, Mei 8, 2026.