Collector
Atupwa jela maisha kwa kusafirisha dawa za kulevya | Collector
Atupwa jela maisha kwa kusafirisha dawa za kulevya
Mwananchi

Atupwa jela maisha kwa kusafirisha dawa za kulevya

Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Tabora, imemhukumu John Juma maarufu kwa jina la Vunjabei, kutumikia kifungo cha maisha jela kwa makosa mawili, likiwamo la kusafirisha kilo 595 za dawa za kulevya aina ya bangi.

Go to News Site