Mwananchi
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetaja mojawapo ya changamoto zilizokwamisha bajeti ya 2025/26 isiweze kutekelezwa ni kuwepo kwa baadhi ya nchi katika Jumuiya kutoheshimu mikataba ya makubaliano ikiwemo la kulipa michango.
Go to News Site