Collector
Wamiliki bandari kavu watakiwa kuongeza ukubwa wa maeneo | Collector
Wamiliki bandari kavu watakiwa kuongeza ukubwa wa maeneo
HabariLeo

Wamiliki bandari kavu watakiwa kuongeza ukubwa wa maeneo

DAR ES SALAAM: SERIKALI imeanza majadiliano na wamiliki wa bandari kavu pamoja na taasisi mbalimbali za umma kwa lengo la kuangalia namna bora ya kupanua na kuongeza uwezo wa bandari hizo, kufuatia kuongezeka kwa shughuli za Bandari ya Dar es Salaam. Hatua hiyo inalenga kupunguza msongamano wa mizigo bandarini, kuongeza ufanisi wa huduma za usafirishaji … The post Wamiliki bandari kavu watakiwa kuongeza ukubwa wa maeneo first appeared on HabariLeo .

Go to News Site