bongo5.com
Wadau michezo na wanamichezo nchini wamehimizwa kutumia huduma za Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kwa kusajili kazi zao za ubunifu na kujifunza kuhusu haki zao ili kuleta tija na ufanisi wa wanamichezo kwa kuwakomboa kiuchumi. Wito huo umetolewa tarehe 08 Mei, 2026 na Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Salvio Kapinga wakati …
Go to News Site