Collector
Muhitimu NIT abuni mfumo wa ‘Smart Kituo’ kupunguza msongamano vituo vya mwendokasi | Collector
Muhitimu NIT abuni mfumo wa ‘Smart Kituo’ kupunguza msongamano vituo vya mwendokasi
bongo5.com

Muhitimu NIT abuni mfumo wa ‘Smart Kituo’ kupunguza msongamano vituo vya mwendokasi

Muhitimu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) katika kozi ya Kompyuta Sayansi, Wandowa Elisha amebuni mfumo wa kidijitali unaoitwa Smart Kituo wenye lengo la kusaidia kupunguza msongamano katika vituo vya mabasi yaendayo haraka. Mfumo huo umebuniwa kuwezesha vituo vya mabasi kufahamu idadi halisi ya abiria waliopo katika kila kituo pamoja na kutambua mahali basi …

Go to News Site