Collector
Serikali yahimiza wafanyabiashara kutumia fursa za masoko ya kimataifa kuongeza mauzo ya nje | Collector
Serikali yahimiza wafanyabiashara kutumia fursa za masoko ya kimataifa kuongeza mauzo ya nje
bongo5.com

Serikali yahimiza wafanyabiashara kutumia fursa za masoko ya kimataifa kuongeza mauzo ya nje

Serikali imewahimiza wafanyabiashara na wazalishaji nchini kutumia kikamilifu fursa za masoko ya kikanda na kimataifa ili kuongeza mauzo ya nje, kuvutia wawekezaji na kuchochea ukuaji wa uchumi wa taifa. Hayo yameelezwa leo jijini Dar es Salaam na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Aristides Mbwasi wakati wa Mkutnao wa wadau kuhusu kutumia fursa …

Go to News Site