bongo5.com
Matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini yamefikia asilimia 28.6 mwaka 2025, hatua inayotajwa kuwa ishara ya mafanikio ya juhudi za serikali katika kuhamasisha wananchi kutumia nishati salama na rafiki kwa mazingira. Hayo yameelezwa jijini Arusha na Mkurugenzi wa Nishati Safi ya Kupikia kutoka Wizara ya Nishati, Nolasco Mlay, wakati wa uzinduzi wa mitungi ya …
Go to News Site