Collector
Diamond ashangazwa na ukubwa wa BMH, aahidi kuwa Balozi wa huduma za kibingwa | Collector
Diamond ashangazwa na ukubwa wa BMH, aahidi kuwa Balozi wa huduma za kibingwa
bongo5.com

Diamond ashangazwa na ukubwa wa BMH, aahidi kuwa Balozi wa huduma za kibingwa

MSANII maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platnumz, amesema ameshangazwa na ukubwa pamoja na huduma za kibingwa na ubingwa bobezi zinazotolewa katika Hospitali ya Rufani ya Kanda ya Benjamin Mkapa (BMH). Amesema hakuwahi kujua kuwa jijini Dodoma kuna hospitali yenye uwezo mkubwa kiasi hicho ambayo inatoa huduma za kibingwa zipatazo 20 na ubingwa …

Go to News Site