bongo5.com
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amepiga marufuku kwa taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kuwaambia wafanyabiashara kuwa hawana vigezo vya kufanya biashara, akisisitiza kuwa jukumu lao ni kuwasaidia kufikia vigezo hivyo ili waweze kushiriki kikamilifu katika biashara na kuchangia ukuaji wa uchumi. Kapinga ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati wa Mkutano …
Go to News Site