Mwananchi
Idadi ya watu waliofariki dunia kufuatia ajali iliyohusisha basi la Shabiby na lori mkoani Iringa imeongezeka kutoka watano hadi sita baada ya mmoja wa majeruhi kufariki dunia akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Muhimbili.
Go to News Site